1. Awe mwanamke mwenye umri usiopungua miaka ishirini na tano (25)
2. Awe na elimu ya kuanzia ngazi ya shahada ya kwanza.
3. Awe na akili timamu.
4. Awe mwaminifu, mkweli na muwazi.
5. Awe mweye uwezo wa kununua hisa kwa mujibu wa katiba.
6. Awe mwenye uwezo wa kuhudhuria mikutano na kutoa ushirikiano kwa wanachama wenzake kwa wakati wote, endapo atashindwa kuhudhuria achangie gharama za mkutano husika kwa kiwango kilchopitishwa na wanachama.
7. Awe tayari kufuata sheria, taratibu na kanuni za chama.
8. Awe mwenye uwezo wa kusimamia mradi wake kikamilifu.
9. Awe mwenye uwezo wa kutoa kiingilio ndani ya mwezi mmoja wa kujiunga na chama.